Nyumba inauzwa bei ya jogoo tu

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Huu mjengo unapigwa mnada kwa bei chee tu wajuba.

@NgarenaroBoy.


ah.jpg
 
Daah!! Kuna watu wa mioyo ya kipekee.

Na hii yote ni kutaka kuishi mijini.
 
Kuna wakati nasema bora mara 100 kuishi kijijini luliko kuishi mjini kwa mateso maeneo hatarishi.
Ewe binti wa Kitanga hujambo?
Daah!! Kuna watu wa mioyo ya kipekee.

Na hii yote ni kutaka kuishi mijini.
 
Ndio nyumba zetu za Mwanza nyumba chini ya jiwe miaka nenda rudi hayo mawe yapo tu. Hii ni nyumba ya jirani yangu huku Bwiru karibu na Bwiru Girls!!!

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app

IMG_20190911_140901.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom