Nyumba inauzwa bei mil22

Nyumba inauzwa bei mil22

peter chula

Senior Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
123
Reaction score
68
Nyumba inauzwa Bei maelewano location Usariver, Arusha
Ukubwa wa eneo 20/30
Ina vyumba 4 na sebule
Maji yanapatikana
Kwa mawasiliano Piga no 0762941817.
0787245182
chulapeter@gmail.com Ukitaka picha nitex whatsapp 0787245182
imeshushwa bei sasa UTAIPATA KWA BEI YA MIL 17 TU KARIBUNI SANA
 
IMG_20171205_085155.jpg
IMG_20171205_085332.jpg
IMG_20171205_085212.jpg
 
Chukua 15m inahitaji marekebisho sana kuendana na nyumba za kisasa
Ukibadili mawazo ni inbox
 
Daaaa hiyo nyumba ni ya kisasa hatari.
Hebu chukua 25 ili ipendeze zaidi
 
Kama eneo ni potential hiyo nyumba sio ya kuacha..Ukiweka million 10 inakuwa nyumba nzuri sana.
 
Mbona kama msituni hapo aisee..? Au kwa ajili ya ufugaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom