Nyumba inauzwa-Arusha

Nyumba inauzwa-Arusha

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,675
Reaction score
12,436
Ipo Saw-Mill,Sombetini.
Barabara,umeme na maji vipo.
Imejengwa kwa miti na kiwanja kikubwa.
Bei tsh.20,000,000/=.Call 0715313676
 
Ukiona nyumba inauzwa, then unaambiwa kiwanja kikubwa kwa mil 20, ujue hapo unanua kiwanja na nyumb ni gofu.
 
Ukiona nyumba inauzwa, then unaambiwa kiwanja kikubwa kwa mil 20, ujue hapo unanua kiwanja na nyumb ni gofu.
Ni kweli nyumba ni gofu na ina wapangaji.
Ila ipo strategic area.Maeneo hayo viwanja pekee vinafika hadi 50 m.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom