Nyumba inauzwa 40M

Nyumba inauzwa 40M

Ina document? Ukubwa wa kiwanja ukoje? Maana naona imeshikana na nyumba jirani.
 
Nyumba ilipo ni njia ya mafuriko.
Habari,
Nyumba safi ya kisasa kabisa inauzwa Mbagala,Chamazi wilaya ya Temeke,jijini Dar es Salaam.

SIFA ZA NYUMBA HUSIKA;

~Ina jumla ya vyumba 4 na kimoja kati yake kikiwa ni master bedroom.
~Sitting room kubwa.
~Jiko na store
~Public toilet
Wasiliana nami kwa 0654269099.

Karibuni.View attachment 1047515View attachment 1047516View attachment 1047517View attachment 1047518View attachment 1047519View attachment 1047520View attachment 1047521View attachment 1047522

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikikumbuka jamaa angu alienunua nyumba chamazi Mbagala sina hamu kabisa, ana miaka 26 lakini mpaka alipata presha ghafla akalala muhimbili miezi 2, yaani nyumba ukiianglia kwa nje unafurahi unasema nyumba so ndo hii, baada ya miezi mitatu ikapiga mvua Mara moja tu, mamaayangu kwanzia rangi yote ilitoka, mabati yanatoboka kama turubai, maji yalijaa ndani kama tupo pale jangwani sahani zinaogelea zinashindana na television,
Hiyo pesa alikopa,kwanini spate mshtuko mkubwa kiasi hicho huku akiwa na umri mdogo wa 26yrs old?
Au aliamini kamwe hawezi kupata peda nyingi kwa mkupuo kama alizonunulia nyumba?
 
Hiyo pesa alikopa,kwanini spate mshtuko mkubwa kiasi hicho huku akiwa na umri mdogo wa 26yrs old?
Au aliamini kamwe hawezi kupata peda nyingi kwa mkupuo kama alizonunulia nyumba?
hakukopa but aliidunduliza kwa mda mrefu na hali hyo inavotokea hakuwepo anarud hom anakuta ndo hvo na chamazi nyumba 90% znazouzwa ndo zipo hivo
 
Uliza waliowahi kununua hizo nyumba za chamazi au wewe ni mmoja wa hao wapigaji?
Hakuna kitu kinakosa magumashi hapa bongo lakini mtu akitaka kununua nyumba ataenda na mtaalamu wake atakagua, akiridhia atalipa!
Sasa si vema kuchafua tangazo la mwenzio kwa hizo hisia zako! Tuache majukwaa yatumike kama yalivyoundwa!
 
Hawa watu ni wa kuwahurumia tu,wanashindwa kuelewa kuwa haya ni maisha ya watu.
Hawajui kama tunaishi,tunakula,tunavaa na kusomesha kwa hii kazi.

Japo wanajitahidi kutia fitina ila cha ajabu Mungu anasaidia biashara zinafanyika na maisha yanaendelea.

Kifupi,uelewa ni tatizo na siku zote huwa nahakikisha mteja anajiridhisha na bidhaa ninayotangaza kabla ya kufanya manunuzi ili kuepuka lawama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikikumbuka jamaa angu alienunua nyumba chamazi Mbagala sina hamu kabisa, ana miaka 26 lakini mpaka alipata presha ghafla akalala muhimbili miezi 2, yaani nyumba ukiianglia kwa nje unafurahi unasema nyumba so ndo hii, baada ya miezi mitatu ikapiga mvua Mara moja tu, mamaayangu kwanzia rangi yote ilitoka, mabati yanatoboka kama turubai, maji yalijaa ndani kama tupo pale jangwani sahani zinaogelea zinashindana na television,
Jenga-Uza walimkomesha safi sana mimi nitaishi nyumba za kupanga mpaka nitakaponunua BMW 5 ndo niwaze kununua kiwanja
 
inabidi wanunuzi wawe wanakwenda na mafundi wao kukagua ubora wa nyumba,tatizo wabongo ujanja mingi sana
 
Nyumba zilizotangazwa humu JF toka nimeanza kusoma matangazo ni ile iliyokua inauzwa huko Tabata nadhani nyumba ilikua haijausha Mwenye nyumba alipata ajali anataka hela akatibiwe niliumia sana jamaa kujenga nyumba nzuri halafu hajaweza kuishi ila ndio maisha hizi zingine hazilingani na bei inayotangazwa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom