nyumba mpya yenye chumba,sebure na choo cha kujitegemea,tiles kote inapangishwa iko tabata kimanga. kodi ni 150000 kwa mwezi,inahitajika kodi ya miezi 6 mawasiliano # 0714358610
Tabata iko eneo gani? na vipi iko mazingira ya uswazi au mahali palipo na wakazi wa kawaida au high class? vp ipo kwenye ngome au nje. Kwa wengine hivi inakuwaje usafiri wa kutoka tabata kwenda posta ni mgumu au rahisi na hili swali ni kwa wote