Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

mama jason

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
40
Reaction score
2
Ipo sinza afrikasana ipo karibu kabisa na barabarani ina vyumba viwili vya kulala sitting foom choo na joko,ipo ndani ya geti na ina parking kosi ni shs 280000 kwa mwezi nataka napokea kodi ya miezi nane.kwa anayehitaji anipigie 0714438523
 
...picha ndo mpango mzima mama,usije ukatuweka kwenye banda la uwani...
 
Ipo sinza afrikasana ipo karibu kabisa na barabarani ina vyumba viwili vya kulala sitting foom choo na jokoo,ipo ndani ya geti na ina parking kosi ni shs 280000 kwa mwezi nataka napokea kodi ya miezi nane.kwa anayehitaji anipigie 0714438523

Unatumia simu ya ainA gani kupost?
 
Hahaaa jamani tuache mzaha hizo typing errors ni kawaida tu kikubwa ni ujumbe .naona mshaaza mambo yenu
 
Ipo sinza afrikasana ipo karibu kabisa na barabarani ina vyumba viwili vya kulala sitting foom choo na joko,ipo ndani ya geti na ina parking kosi ni shs 280000 kwa mwezi nataka napokea kodi ya miezi nane.kwa anayehitaji anipigie 0714438523

Kuna chumba chochote kina choo ndani yake kati ya hizo mbili?? Jikoni kuna sink la kuoshea vyombo? Kuna tiles na gpysum? Kama ina vigezo hivyo niambie ila nakulipa miezi 6 kama utakubali.Naomba jibu haraka.Na maji yapo ndani hadi chooni na jikoni?
 
Kuna chumba chochote kina choo ndani yake kati ya hizo mbili?? Jikoni kuna sink la kuoshea vyombo? Kuna tiles na gpysum? Kama ina vigezo hivyo niambie ila nakulipa miezi 6 kama utakubali.Naomba jibu haraka.
Choo ni kimoja cha public ,hamna sink wa gypsum na tiles zipo sebukeni tu.hivyo vitu unavyotaka kwa maeneo ya afrikasana kodi yake siyo hiyo.
 
Kwa maelezo yako na bei uliyoiweka kwa maeneo hayo na ulivyoshindwa kutupia picha ya hiyo nyumba humu na mashaka sana nyumba unayoinadi humu ni chakavu ni vyema ukawa muwazi ili watu tukajua tunapoichukua tunaanzia wapi
 
Choo ni kimoja cha public ,hamna sink wa gypsum na tiles zipo sebukeni tu.hivyo vitu unavyotaka kwa maeneo ya afrikasana kodi yake siyo hiyo.

Asante kwa majibu ila sijapenda nyumba.Nakutakia mafanikio mema dada!
 
Choo ni kimoja cha public ,hamna sink wa gypsum na tiles zipo sebukeni tu.hivyo vitu unavyotaka kwa maeneo ya afrikasana kodi yake siyo hiyo.

Mi naamini kabisa kama kweli unashida ya nyumba unaweza kuja kuiona ili ujiridhishe .sidhani kama utailipia kabla hujaja kuiona.
 
hapo dalali hayupo kama unahitaji unakagua hujaridhika unasepa,hakuna pesa ya mguu wala nini!
usimchoshe mama wa watu,tena anaonekana mjanja hadi jf anaijua loh..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom