Nyumba inapangishwa

Joined
Nov 25, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Nyumba aina ya apartment inapangishwa iko mikocheni, ina vitu vyote vya ndani, yani full furnished, e.g sofa, t.v ,dstv, fridge, na vingine vyote, ina vyumba viwili vyote mastaroom, sebule, jiko, parking kubwa, ulinzi, maji ya uhakika, standby generator,
Bei kwa mwezi ni dola 1600 na unaweza kulipia kwa mda wowote unaotaka sio lazima mwaka
Ukitaka kuiona wasiliana nami kwa namba 0716 850 695
 
kwa nini dola? Huku Jf hamna dola au andika
tangazo lako kidhungu
 
Sisi sio watalii tuko kwa nchi yetu..leta tsh ndo tuelewane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…