Nyumba kubwa sana na ya ghorofa inapangishwa eneo la mikocheni, ina vyumba 5 kimoja na masta yake, sebule, choo na bafu, jiko, swimming pool, eneo kubwa la nje la kupark magari, kuna mlinzi, mtu wa garden,geti kubwa, maji ya uhakika, standby generator, ni eneo lenye usalama wa hali ya juu, kwani wanaishi watu wenye uwezo, bei yake kwa mwezi ni dola 5000 kwa mwezi
Ukitaka kuiona hio nyumba wasiliana nami kwa sim. 0716 85 06 95.
Ni wakati wako kuishi kwenye nyumba ambayo hautakaa uisahau maisha yako yote kwani ni nzuri sana na iko eneo zuri sana