Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

FLASH HIDER

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
397
Reaction score
508
Nyumba inapangishwa ipo Majohe Kilometa moja na Nusu kutoka Kampala International University (KIU) Gongo la Mboto. Ina vyumba vinne vya kulala (kimoja ni master), library, store, Sitting roo, dining room, sehemu ya ibada, ina fence, ina umeme, maji (ina kisima cha kuchimbwa), inafikaka kwa gari. Eneo lina ukubwa wa 59x35M. Ni mpya haijawahi kukaliwa na inapangishwa yote kwa pamoja na si kwa vyumba. Interested nipigie +255763764252. Mimi ni mwenye nyumba na sio dalali na sihitaji dalali.
 
...mkuu FLASH HIDERweka bei ili kupunguza usumbufu wa kupigiwa simu za kuuliza bei, au inabadilika kulingana na mtu anavyokuja..?
 
Last edited by a moderator:
Uje uone nyumba ikoje ndipo tuambiane bei. If you real need a house you will come and see it na hapo ndipo mazungumzo yatakapoanza.
 
Uje uone nyumba ikoje ndipo tuambiane bei. If you real need a house you will come and see it na hapo ndipo mazungumzo yatakapoanza.
mkuu bei inarahisisha kujua mtu ataimudu au vipi, weka hata inaanzia ngapi, halafu sema maelewano yapo.
picha pia ni muhimu.
 
Uje uone nyumba ikoje ndipo tuambiane bei. If you real need a house you will come and see it na hapo ndipo mazungumzo yatakapoanza.
...mkuu jukwaa linaruhusu kutupia picha,toa bei elekezi kuokoa muda kiongozi watu tunaitaka kweli hiyo nyumba ila tunaogopa kupoteza muda mambo yakiwa nje ya matarajio...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom