Habari ndugu wana JF,
napenda kuwataarifu ndugu zangu hpa jirani yangu kuna nyumba nzima yenye vyumba 5 parking ya gari ndani kodi ni laki sita kwa mwezi. ipo magomeni moroco hotel karibu na msikiti pia karibu na kanisa pia karibu na kituo cha polisi na serikali ya mtaa.pia maji yanapatikana.
nawatakia kazi njema katika ujenzi wa taifa ila mm sio dalali nawasaidia tu wenzangu nyumba yenyewe ni jirani na kwangu