Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

Kariba1

Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
75
Reaction score
4
Nyumba ya kisasa inapangishwa maeneo ya tegeta masaiti, nyumba ina master1 kubwa, vyumba3, sebule kubwa, dining, jiko la kisasa, public toilet, fensi, tiles, garden, maji na umeme vipo bie yake ni tshs.400,000 kwa mwezi kwa mhitaji wasiliana na mudy 0714107215
 
Kweli kinachoamua bei ya nyumba ni location sio uzuri wa nyumba, yaan na mbwembwe zote bei lak 4 tu wakati hiyo nyumba ingekuwa sinza, kinondon ada estate au chang'ombe bei ingekuwa balaaa zito
 
Weka maelezo ya kutosha, picha muhimu pia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom