Umejuaje ni kama ulikuwa akilini mwangu hayo mawaidha hadi usiku na ile swalah swalah saa kumi usiku inakuwa shida kwani,pia wengine ni wapenzi wa ku kaanga kile kitu roho inapenda na hakina siri hunukia hadi kilometre nzimaaa,sasa ikiwa karibu na msikiti unaweza kusomea fatwa na bakora juu kwa kuchafua hali ya hewa