Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
906
Reaction score
112
Nyumba ina vyumba vitatu (3),chumba kimoja ni self.,store, jiko, sitting and dining rooms.
Maji na Umeme vipo kwa uhakika.
Nyumba ipo WEST NKUHUNGU, DODOMA.
KAMA UNAHITAJI, NI PM.
 

Attachments

  • 20122011355.jpg
    20122011355.jpg
    328.1 KB · Views: 149
Weka na bei ili watu wajue kama wanauwezo hata wa kukurushia pm
 
Weka na bei ili watu wajue kama wanauwezo hata wa kukurushia pm

Bei ni Tsh 300,000@mwezi na inatakiwa kulipwa kwa mkupuo mmoja kulingana na mkataba yaani miezi mitatu, sita au mwaka mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom