Nyumba inapangishwa ukonga

Nyumba inapangishwa ukonga

mlimbwende

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
74
Reaction score
26
Nyumba ya kisasa mpya ndio imemalizwa kujengwa inapangishwa ukonga sitakishari. Ina vyumba vinne vya kulala, master bedroom. Ina garage, maji, umeme wa luku. Sh. laki tano kwa mwezi. kodi ya mwaka mzima inatakiwa. Dalali no. Picha inafuata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom