Nyumba Inapangishwa Tabata Segerea

Nyumba Inapangishwa Tabata Segerea

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
508
Reaction score
401
Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa.
Mahali: Tabata Segerea, Dar es salaam.

Sifa za Nyumba:
•Iko mita chache kutoka barabara ya segerea.
•Ina master bedroom, Choo cha ndani, jiko, Sebule na sehemu ya chakula.
•Iko ndani ya uzio yenye sehemu kubwa ya kuegesha magari.
•Ina bustani ndogo.
•Ina AC, umeme na maji.

Gharama ya kodi: Sh.Mil 1,500,000 kwa mwezi.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited
 

Attachments

  • 7e58bd95-ba4a-4b16-b11d-1be7b44d1f2a_0_watermark.jpeg
    7e58bd95-ba4a-4b16-b11d-1be7b44d1f2a_0_watermark.jpeg
    398.7 KB · Views: 26

Similar Discussions

Back
Top Bottom