Nyumba inapangishwa Sinza Legho

Nyumba inapangishwa Sinza Legho

island

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
1,065
Reaction score
837
Ipo Sinza Legho, ina sebule kubwa, dining kubwa inayoweza kuwa chumba, chumba kimoja , jiko na na ki rum cha stoo na choo/bafu ndani. Iinaenda kwa 250, nzuri sana, kodi kuanzia miezi 6. Umeme mpo wawili tu! Unaweza lipia leo leo ukahamia

Njoo PM
 
Hizo hapo
 

Attachments

  • 1418634496589.jpg
    1418634496589.jpg
    25.6 KB · Views: 209
  • 1418634514969.jpg
    1418634514969.jpg
    24.7 KB · Views: 209
  • 1418634536378.jpg
    1418634536378.jpg
    31.9 KB · Views: 204
Nyumba yenyewe ilivyojichokea walai siwezi lipa hiyo bei!
 
Naijua hii nyumba, nimeishi Legho zaidi ya 5yrs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom