Nyumba inapangishwa Njiro Arusha

Nyumba inapangishwa Njiro Arusha

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
536
Nyumba inapangishwa Arusha, Njiro kwa Msola. Nyumba ina vyumba 4, viwili ni master na viwili kawaida, iko kwenye kiwanja cha 40 x 40 na kuna parking ya kutosha, uzio wa seng'enge.

Ina storage tanks za Lita elfu 25, umeme wa Tanesco, maji ya Auwsa, iko karibu na nyumba za Tanapa na inafaa kwa matumizi ya Ofisi.

Inapangishwa ikiwa na samani au bila samani (optional)

Mawasiliano: 0787377511/0719055711 au niandikie kupitia PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom