kikulacho...
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 321
- 224
Ina Master bedroom moja,Bedroom moja ya kawaida, Sebule, Jiko na Choo cha public na parking ya magari. Kwa maelezo zaidi nicheki Pm
Bei laki Nne na NusuKodi sh ngapi na kwa muda gani?hayo mengine ya pm ni baada ya kujua gharama.
Nimejaribu kuweka picha japo simu niliyotumia ni kimeoWeka picha kwanza