watu kama nyie ndio mnatafutiaga watu ban Cie nani kakuambia nimeweka kigezo cha pesa unatokwa mapovu wakipanga za 500000 si wao wewe ungeuliza kwanini usipange moshi kwa hiyo hela sio mipovu ya sabuni kibaaaaao.moshi nimeishi bana tena inawezekana kushinda wewe,mji ambao hauna mzunguko mkubwa wa hela bado sijapanga nyumba ya 300000pooole ...hahahahahah ni wewe usie nazo hizo ndo wapata shiiiiiiida kwa taarifa wapo wanaopanga hadi 500000 hapa hapa moshi
yani nikapange nyumba moshi 300000 labda sina akili timamu
iam only responsible for what i say and not for what you understand valid statementacha ubishi usiokuwa na tija.
kwa bei aliyoitaja, kwa ukubwa wa nyumba,na kwa eneo la nyummba ilipo, hiyo bei ni sawia, tena ni bei nzuri saaana.