Nyumba inapangishwa Mbezi Makonde

Nyumba inapangishwa Mbezi Makonde

uncledalali

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
249
Reaction score
118
Vyumba4 (kimoja Masta), Sebule, Jiko, Choo za Public Mbili. Inawekwa Paved block, Maji yapo ya Dawasco na garage.

Bei Laki6/Mwezi

Call 0752953860
 
Attachments

  • 1442246804509.jpg
    1442246804509.jpg
    58.8 KB · Views: 395
  • 1442246908821.jpg
    1442246908821.jpg
    61 KB · Views: 345
laki 6 mwezi?? you people are you serious chumba 1 master ina maana kila chumba ni zaidi ya laki tobaaaaa
 
National housing ongezeni speed ya ujenzi wa nyumba za makazi hali bado mbaya huku!
 
Vyumba4 (kimoja Masta), Sebule, Jiko, Choo za Public Mbili. Inawekwa Paved block, Maji yapo ya Dawasco na garage.

Bei Laki6/Mwezi

Call 0752953860

Member Yoyote Atakayehamia Hapo Asikose Kunikaribisha Kwani Tutakuwa Majirani Kama Mitaa Miwili Tu Hivi. Ila Mleta UZI Mbona Hujawatahadharisha Wanaotaka Kupanga Kuwa WAJIANDAE Tu KISAIKOLOJIA Pindi Mvua Zitakavyoanza Kunyesha Kwani Hapo Ilipo Hiyo Nyumba Kipindi Cha Mvua Huwa Panakuwa Kama Bahari Ya Hindi.
 
Nyumba Nyingine Inapangishwa Tangibovu
Vyumba3, Sebule,Jiko, Choo ndani.
Kodi 400,000/mwezi
Sio Mbali na barabara, Dakika Kama 3hivi kwa Gari kutoka Barabarani.
 
Attachments

  • 1442316002537.jpg
    1442316002537.jpg
    50.8 KB · Views: 228
  • 1442316013742.jpg
    1442316013742.jpg
    22.6 KB · Views: 224
  • 1442316027292.jpg
    1442316027292.jpg
    20.6 KB · Views: 199
  • 1442316037002.jpg
    1442316037002.jpg
    11.5 KB · Views: 196
Nyingine Nyumba Inapangishwa MbeziBeach TangiBovu Stand ya Goba
Vyumba2(1masta), Sebule,Dinning,Jiko,Storey,fenced,tiles,gypsum,pavedblock.
Kodi Laki6/Mwezi
Instagram @ adam_agent
 
Attachments

  • 1442377517587.jpg
    1442377517587.jpg
    42.4 KB · Views: 192
  • 1442377547790.jpg
    1442377547790.jpg
    54.2 KB · Views: 175
Tatzo la madalali,hua wanaongeza bei ya kodi ya nyumba au chumba,kabla sijahama sinza,nilikua nalipa laki 4 nyumba nzima,vyumba 3,kimona master,maji ndani,jiko na store,ndani ya gate
Nikatafita nyumba bahari beach the same na ya Sinza,dalali akaniambia laki 5! Uzuri mtoto wa mwenye nyumba nilisoma nae,nikaomba anipeleke kwa mshua wake,akaniambia kodi ni laki 3,tena unaweza lipa kwa miezi 3,6,9,12!
Madalali acheni kupandisha kodi za nyumba,kumbukeni maisha yana panda na kushuka,nashukuru mungu mwakani mwezi wa 1,nahamia kwangu lasimi,hizi nyumba hizi tatxo
 
Naomba nisaidie na mimi mkuu, mdogo wangu anatafuta chumba kimoja ila kiwe master maeneo ya kunduchi ila sio pale mtongani uswahilini hahha, ndo anaanza maisha
 
Naomba nisaidie na mimi mkuu, mdogo wangu anatafuta chumba kimoja ila kiwe master maeneo ya kunduchi ila sio pale mtongani uswahilini hahha, ndo anaanza maisha

Ukitaka kukaa mbali na uswahilini tafuta nyumba Masaki au nunua kisiwa ujenge ukakae huko.
Halafu mdogo wako ndo anaanza maisha ila ushamlimit kukaa karibu na uswahilini.
Anyway..................
 
Upumbavu ni kushindwa kudeal na uhalisia wa maisha halisi ya Bongo na kuanza kutukana uhalisia halisi uliopo.
Na kwa hilo naona mwenzangu umequalify kwa kunishinda zaidi. Hongera.
Ushauri unabaki pale pale, tafuta kisiwa kajenge au tafuta nyumba masaki ukapange.

hizi ni hekimatele!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom