baghozed JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 532 Reaction score 97 Nov 9, 2012 #1 Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa, kodi kwa mwezi ni tsh milioni moja ipo karibu na shule ya msingi mbezi beach. kwa mawasiliano zaidi kwa atakaeihitaji piga 0655 44 44 40
Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa, kodi kwa mwezi ni tsh milioni moja ipo karibu na shule ya msingi mbezi beach. kwa mawasiliano zaidi kwa atakaeihitaji piga 0655 44 44 40
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,333 Nov 9, 2012 #2 weka picha ili watu waone kama nyumba ina azi ya hiyo bei,ivo ndio watu wanavyofanya biashara duniani,maneno bila watu kuona ni sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia,watanzania tuwe serious na biashara
weka picha ili watu waone kama nyumba ina azi ya hiyo bei,ivo ndio watu wanavyofanya biashara duniani,maneno bila watu kuona ni sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia,watanzania tuwe serious na biashara