Makongo juu kubwa sema ipi,mwisho wa daladala au chama au I.T.V au kanisani au kwa Mongella............????Vyumba viwili kimoja ni master bedroom, sebule, jiko, choo na dinning! Pia parking ya kutosha na eneo la kubwa la kutosha ndani ya fence! 0717569086 nichek fasta!
Kwa wapi kama unaenda kiwanjani/kanisani kule juu au kama unaenda Changanyikeni ?????Maeneo ya songas
Umewekewa namba ya simu piga..acha maswali mengi..au na ww dalali mkuuKwa wapi kama unaenda kiwanjani/kanisani kule juu au kama unaenda Changanyikeni ?????
Haya maongezi yetu kuna watu yanawasaidia usidhani wewe peke yako unaisoma hii mada, sinahaja ya kumpigia kitu live na yeye hana tatizo ndio maana ananijibu.Umewekewa namba ya simu piga..acha maswali mengi..au na ww dalali mkuu
Mkuu kwa chini ni parking ya magari, na eneo la kupunga upepo!Landscape ya huko ilivyokaa vizuri na miinuko, lakini naona wabongo wanashindwa kuitumia,hapo kajenga limsingi likuubwa,,wakati huko chini alikuwa na uwezo wa kuweka basement au car park.