Nyumba ya kisasa Inapangishwa Ipo Kinondoni Karibu na Ada Estate....Ina Vyumba Viwili Vya kulala na Masterbedroom Moja...Ina Dining na Sebule kubwa...Parking Ya Gari Maji 24hrs.....Yote ina Tiles na Gypsum....!! Kwa mawasiliano zaidi Piga 0657 439 005
Kodi ya muda gani?Inatakiwa 500,000 kwa mwezi mkuu karibu na best bite na pia unakuwa karibu na lidaz club na kinondoni makaburini