Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

Mark Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
605
Reaction score
310
Nyumba inapangishwa maeneo ya Kimara Mwisho,

Ipo upande wa kushoto kama unaelekea Ubungo.

Ina vyumba viwili (2) vya kulala, Sebule, Toilet ndani na Jiko.

Haina uzio (fence), LUKU ya ku-share wawili na ipo katika mazingira tulivu.

Kodi ni ndogo, inamfaa mtu anaehitaji nafasi kubwa ambae hana uwezo wa kuishi maeneo ya karibu na mjini.

Kwa maelezo zaidi, piga 0715-101740.

UPDATES:
Anaehitaji kuiona siku ya kesho tarehe 08/02/2015 itakua ni rahisi na vizuri zaidi.
 
Kumbuka kuwa hii haina dalali... Ukilipia miezi 6, ni miezi 6 tu, hakuna kulipia mwezi mmoja kwa ajili ya dalali.
 
Nyumba bado haijachukuliwa, yeyote anaehitaji KARIBU SANA.
 
Huyu jamaa ni tapeli!

Bei hataji, picha hataki kuweka.
 
Mi nakaaa kimara mwisho Bonyokwa nakufahamu na kuelekea king'0ng'0 ndo mwenyeji...Sasa niajie ipo wapi bei gani na kuna mtu anahihitaji nyumba.
 
Sina picha boss, ila ni nzuri kwa mrembo km wewe... Bei reasonable, serious tenants watatext kuulizia.

Tumia busara unapojibiwa kibusara, nimekueleza mambo ya msingi, juu ya wewe kupata mtu kwa haraka, unajibu use.ng* hapa jitafakali, your verified user.
 
Huyu jamaa ni tapeli!

Bei hataji, picha hataki kuweka.

Usimdharau mtu usiemjua, mi sio tapeli... Namba hiyo nimetoa, tatizo lako nini? Km huna salio, nibeep nitakupigia ili nikupe info zote.
 
Mi nakaaa kimara mwisho Bonyokwa nakufahamu na kuelekea king'0ng'0 ndo mwenyeji...Sasa niajie ipo wapi bei gani na kuna mtu anahihitaji nyumba.

Unafata barabara ya king'ong'o ila hukati kona kufata ule mteremko, ni maeneo karibu na mnara wa simu. Ukiwa karibu nicheki nikakuoneshe au km nipo mbali ntakuunganisha na mtu ambae yupo karibu.
 
Hio nyumba itakuwa ni janga .no picha no price wewe unaambiwa tu njoo uione ahhaha . Mambo y akina abunuasi. Sasa kwa nini u advertise online if you lack.?
 
Tumia busara unapojibiwa kibusara, nimekueleza mambo ya msingi, juu ya wewe kupata mtu kwa haraka, unajibu use.ng* hapa jitafakali, your verified user.

Frema120... Mbona jibu langu linajitosheleza?! Ulitaka nikujibu vipi? Hiyo quote sikukujibu wewe, nlimjibu mtu mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom