Nyumba inapangishwa ipo sinza darajani

Nyumba inapangishwa ipo sinza darajani

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,343
Nyumba ipo maeneo ya sinza darajani kwa mwaibula,ina vyumba viwili,sitting room,jiko na choo ndani na stoo.
Bei laki tatu na kumi tu.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0712774610
 
Ina parking Mkuu?
Store inapatikana?
Vipi maji?
 
Store ipo na Maji yapo Shark
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chimbuvu, edit hiyo page yako ya kwanza kwa kuweka maelezo yote ya kina kutokana na maswali ulioulizwa, mara nyingi ni vizuri kutoa tangazo lenye maelezo ya kutosha ili kusaidia kupunguza maswali yasiyo na tija,,,,,,,,,,,,,, hata kama ungekuwa na nguvu ya kuweka picha ungeweka tu mkuu
 
Aweke picha?? Kwanza pale sio sinza ni tandale msimu wa mvua kama kawa ngalawa inahusika labda apige picha msimu wa kiangazi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom