Nyumba inapangishwa,ipo Kimara

Nyumba inapangishwa,ipo Kimara

Ninataka nyumba Segerea au Kinyerezi. Offer 150,000/- kwa mwezi. Nyumba ndogo tu ya vyumba viwili/ vitatu. Sitting room na store. Nyumba ya kawaida tu. Kama ipo ni PM. Miezi 6 ndo kipaumbele. Mwaka italipiwa.

Ok nimekupata mkuu.nalifanyia kazi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom