Igunga Moja
Senior Member
- Aug 5, 2014
- 182
- 23
Kimara sehemu gani mdau?
Minimum rent duration ni muda.gani? Ni mwaka au miezi 6?
Ishachukuliwa hii nyumba!.,kipo chumba na sebule masta laki.na 60.
We unataka wapi???
We unataka wapi???
ubungo..,Riverside ama changanyiken kijitonyama
btw haujui namna ya ku quote????
Bajeti yako ni bei gani/ mwezi?
we niambie vyumba vinayopatikana maeneo hayo na bei inakuwaje
Ningetamani sana tuishi jirani. Ukipata nijulishe
hahaaaaaaa Mpwa nitafutie maeneo ya huko kwako ili iwe rahisi
Ipo tabata mawenzi.mil.60!
Za mchana dada? Nilikua nauliza kama una nyumba ya kununua budget ni 80m??