Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto Dar

muhandu

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
311
82
Salama wana jukwaa,
Katika maisha kinachomuokoa mtu ni kitu chake.

Kuna nyumba ya vyumba vitatu Gongo la Mboto,mbele ya ulongoni panaitwa Bangulo.Ukifika stend ya bodaboda relini pale nyuma ya kituo cha polisi,kuna bodaboda waambie wakupeleke kwa mzee wa voda.Kuna shule ya chekechea inaitwa gift english medium.

Nyumba inapangishwa,tafadhali kama utapahitaji tuwasiliane kwa no 0754 710 823.Bei tutaelewana baada ya kuwa umefika eneo husika.
 
Biashara haiendi namna hiyo na huwezi kueleweka, labda kama wewe ni dalali. Weka details zote, sh' ngapi kwa miezi sita au mwaka na humu tunakwenda kwa facts tu PICHA ni muhimu zaidi.
 
Salama wana jukwaa,katika maisha kinacho muokoa mtu ni kitu chake,kuna nyumba ya vyumba vitatu gongolamboto,mbele ya ulongoni panaitwa bangulo.Ukifika stend ya bodaboda relini pale nyuma ya kituo cha polisi,kuna bodaboda waambie wakupeleke kwa mzee wa voda.Kuna shule ya chekechea inaitwa gift english medium.
Nyumba inapangishwa,tafadhari kama utapahitaji tuwasiliane kwa no 0754 710 823.Bei tutaelewana baada ya kuwa umefika eneo husika.
Wewe sio team ng'oa kucha kweli? Hivi Salma Saidi hakuwa na jeraha?
 
Back
Top Bottom