Nyumba inapangishwa chumba na baraza

Nyumba inapangishwa chumba na baraza

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Ipo changombe jirani na njia panda ya kwenda tcc club. Inatazama barabara ya changombe.
Nyumba ipo ndani ya gate lenye parking ambayo ni free. Chumba hicho na baraza kina choo na bafu pamoja peke yako ila jiko mta share na mwenzako wa upande wa pili.
Kodi ni 180,000/= kwa mwezi na mkataba ni miezi sita, sipendi mkataba wa mwaka.
Nyumba itakuwa wazi september, tarehe 01.
Wasiliana na 0713 68 96 65.
 
Back
Top Bottom