Nyumba inapangishwa Ada Estate

Nyumba inapangishwa Ada Estate

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Apartment available for rent in Ada Estate Kinondoni, Dar Es Salaam

The apartment has;
  • 3 Bed Rooms where 1 is a master
  • 1 Dining room
  • 1 Kitchen
  • 1 Seating room
  • 1 Public toilet
  • 1 Store
  • 1 Barcon
  • Water & Electricity
  • Fenced
  • Parking
  • available immediately.

Location: ADA ESTATE BLOCK 4/F Just behind to Hon Magufuli Residence.

Rent: $ 1500 per month

Contact: sms/call/whatsapp +255769142586

Nyumba/Fleti inapangishwa Ada Estate Kinondoni Dar Es Salaam

Nyumba/Fleti hii ina;

  • Vyumba 3 ambapo 1 ni master
  • Sebule 1 ya chakula
  • Jiko 1
  • Sebule 1 ya kupumzika
  • Choo 1 ya wote
  • Stoo 1
  • Sehemu ya nje ya kupumzika/kucheza watoto
  • Maji na Umeme
  • Imezungushiwa wigo/fence
  • Maegesho ya magari
  • Ipo tayari kwa kuhamia muda wowote.

Mahali ilipo: Ada Estate Kinondoni karibu na nyumbani kwa Mh waziri Magufuli.

Kodi: Tsh 2,500,000/= kwa mwezi

Mawasiliano: sms/piga/whatsapp +255769142586
 
Attachments

  • P1010454.JPG
    P1010454.JPG
    83.4 KB · Views: 210
  • P1010458.JPG
    P1010458.JPG
    62.9 KB · Views: 200
  • P1010463.JPG
    P1010463.JPG
    73.2 KB · Views: 192
  • P1010464.JPG
    P1010464.JPG
    74.6 KB · Views: 182
  • P1010470.JPG
    P1010470.JPG
    75.6 KB · Views: 187
  • P1010471.JPG
    P1010471.JPG
    56.5 KB · Views: 183
  • P1010472.JPG
    P1010472.JPG
    90.8 KB · Views: 192
  • P1010473.JPG
    P1010473.JPG
    74.1 KB · Views: 184
  • P1010475.JPG
    P1010475.JPG
    143 KB · Views: 198
  • P1010482.JPG
    P1010482.JPG
    114.8 KB · Views: 183
Duuh we dalali si mchezo,,nyumba haina hata paved block na fance ya michongoma plus gate. Any way mi napita tuu ila ukiirekebisha kidogo itaendana na hadhi ya hiyo bei!!
 
Kweli sisi bado ni watumwa, tupo kwetu lakini tunapangishwa nyumba kwa USD, huu upuuzi kwa wenzetu SA haupo kabisa.
 
Duuh we dalali si mchezo,,nyumba haina hata paved block na fance ya michongoma plus gate. Any way mi napita tuu ila ukiirekebisha kidogo itaendana na hadhi ya hiyo bei!!
huwa mnasema ati bongo tambarare,haya!
 
2,500,000 x 12= 30,000,000/= ASANTE

Ya kawaida tu ila kama ni mgeni na maeneo hayo basi unaweza ukarukwa Na akili. IPO nyingine 2 rooms maeneo hayo hayo ni $1800. Ukienda masaki, oyster bay, mikocheni, Mbezi beach, upanga nk Watu wanapanga kwa dola 2000 mpaka 5000 ila kama umepanga gongolamboto hii itakushangaza sana
 
Kweli sisi bado ni watumwa, tupo kwetu lakini tunapangishwa nyumba kwa USD, huu upuuzi kwa wenzetu SA haupo kabisa.

hamia SA! Kama kila kitu mnaimport unategemea nini?!! lazima dola itumike kama standard japo mtalipana kwa madafu.
 
Duuh we dalali si mchezo,,nyumba haina hata paved block na fance ya michongoma plus gate. Any way mi napita tuu ila ukiirekebisha kidogo itaendana na hadhi ya hiyo bei!!

Nashukuru kwa comment yako Dada yangu ila hiyo bei Kapanga mwenye nyumba mwenyewe mi sijaongeza hata kumi
 
bei hiyo haiko mbali sana na bei ya soko kwa sasa kwa maeneo husika na nyumba za standard husika, kuna sehem hiyo bei ni ya chumba kimoja tu!
 
Kuna Watu wana masihara. 2.5m kwa mwezi?
Au una target international market?

Mkuu, sasa unaanza kunipa wasiwasi kama Na wewe ni mgeni na maeneo hayo hapa Dar. Dar imegawanyika mkuu, kuna sehemu nyumba kodi kwa mwezi laki 1, kuna sehemu laki 3, kuna sehemu milioni Na kuendelea. Inategemea ni sehemu gani hiyo nyumba IPO. Ni waTz wa kawaida tu wanapanga kwenye hizi nyumba ingawa hata watu Kutoka nje wamo pia
 
Daaah
Poa mkuu.
Nishazoea sana sana ikizidi ni 1.5m
Anyway, yote kheri kaka
Asante kwa kunijuza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom