golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Weka pichaWakuu habari za wakati huu,
Kuna nyumba napangisha maeneo ya mbezi msakuzi, njia ya kwenda mpigi magohe.
Nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Public toilet
-Gypsum board
-Tiles za ukweli
-Sitting room
-Jiko
-Dinning
-Umeme bado upo kwenye maandalizi
-Aluminium safi kwenye madirisha
-Ukuta upo kwenye maendelezo
-Choo cha nje.
Unaruhusiwa kuja kuiona, na maelewano mengine yapo.Kuhusu namba za simu njoo pm
Usafiri upo wa basi kubwa zile kama uda. Usafiri upo mpaka saa sita usiku. Sijawahi kufatilia kuhusu umbali,ila ni kama nusu saa mpaka mbezi mwisho. Kabla hata hujafika, waeza enda mbezimwisho kuona usafiri wake, na unaweza kuuliza makonda ni mda gani ili ndio uamue kuja kuionaSamahani sina uenyeji maeneo hayo, kutoka hapo nyumba ilipo kuna umbali gani mpaka mbezi stand na kuna usafiri gani wakunifikisha huko
Mkuu sijaweka picha maana kuna kazi zinamaliziwa wiki hii inayoanza kesho, ila ukitaka njoo uione na uone umaliziaji wake wikii hiiWeka picha
nipm nambaWakuu habari za wakati huu,
Kuna nyumba napangisha maeneo ya mbezi msakuzi, njia ya kwenda mpigi magohe.
Nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Public toilet
-Gypsum board
-Tiles za ukweli
-Sitting room
-Jiko
-Dinning
-Umeme bado upo kwenye maandalizi
-Aluminium safi kwenye madirisha
-Ukuta upo kwenye maendelezo
-Choo cha nje.
Unaruhusiwa kuja kuiona, na maelewano mengine yapo.Kuhusu namba za simu njoo pm
Nimeshakupmnipm namba
Basi malizia hizo kazi kwanza alafu ndo uje kutangaza. Lakini usisahau picha.Mkuu sijaweka picha maana kuna kazi zinamaliziwa wiki hii inayoanza kesho, ila ukitaka njoo uione na uone umaliziaji wake wikii hii
Mpaka ijumaa kazi zitakuwa zimeisha,unakaribishwa kuja kuiangaliaBasi malizia hizo kazi kwanza alafu ndo uje kutangaza. Lakini usisahau picha.
Mkuu vp umeshanipata. Nipo site saivi karibu uje uioneSamahani sina uenyeji maeneo hayo, kutoka hapo nyumba ilipo kuna umbali gani mpaka mbezi stand na kuna usafiri gani wakunifikisha huko
By ijumaa nitaweka picha, karibu uje uione na ujiridhisheSi ungeweka pichaa?
Mkuu karibu uje uione. Hautojutia muda wako. Nipo site saiviPicha wapi?
Usafiri upo wa basi kubwa zile kama uda. Usafiri upo mpaka saa sita usiku. Sijawahi kufatilia kuhusu umbali,ila ni kama nusu saa mpaka mbezi mwisho. Kabla hata hujafika, waeza enda mbezimwisho kuona usafiri wake, na unaweza kuuliza makonda ni mda gani ili ndio uamue kuja kuiona
Karibu sana ndugu.Njoo ujionee, najua hali ni ngumu, usisite,mazungumzo mengine yapoAseehh iyo nyumba inafaa sana kwa loners kama sisi,..
Karibu sana ndugu.Njoo ujionee, najua hali ni ngumu, usisite,mazungumzo mengine yapo
Kuna vitu namalizia by ijumaa itakuwa vimeisha, ntaweka picha, kama kutakuwa bado hajatokea mtu kuichukua, maana nawakabizi na madalili leo hii kaziWeka picha
We jamaa umeshindwa kuelewa na hili.Hivi hujaja hata kuona nyumba, utahamiaje. Nimekuambia mpaka ijumaa kila kitu kitakuwa kimeisha. Nimefanya hivi maana sina mda mrefu naondoka.Kama hujamaliza sasa unaipangishaje?