S SUBE2021 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 348 Reaction score 103 Jul 20, 2015 #1 Nyumba yenye chumba kimoja na Sebure iwe ni self contained, Maeneo yanayofikika kiurahisi isiwe uswahilini. Mwenye kujua anitumie private mesej au anipe namba. iwe karibu na Mjini maana ofisini kwangu ni NIC
Nyumba yenye chumba kimoja na Sebure iwe ni self contained, Maeneo yanayofikika kiurahisi isiwe uswahilini. Mwenye kujua anitumie private mesej au anipe namba. iwe karibu na Mjini maana ofisini kwangu ni NIC
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,899 Jul 20, 2015 #2 Mbeya yote ni uswahilini. Labda sema isiwe katka maeneo yanayokaliwa na wanyakyusa wengi.