Haya mambo ya Mauzauza huwa nayasikia, kwa kweli sijawahi kukumbana nayo.
Nina ushahidi kuna nyumba moja ya kienyeji naifahamu, huwa haipangishwi, wala hakuna watu wanaoishi, na inaogopewa, na hakuna hata mtu mmoja anaeingia.
Watu wanadai ile nyumba ina Mauzauza, ndio maana inaogopewa.
Hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa kabisa, ni uoga wa watu?!
Au pengine Nyumba ina mgogoro?!
Kwa kweli nashindwa kabisa kuelewa