fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 667
- 721
Ni wasiwasi wako .. si umesema ulikuwa upo high(handaz)?
Pole mkuu. Kamwite mchungaji aiombee nyumba
dooh!!
Ndo ush.a.f.i.r.w.a tena ndugu yetu mzee singasinga ni hataree.
Hayo ni madhara ya bangi handaz unazovuta mpaka saa saba usiku huku unatamani pesa na makochi ya Singasinga, na huku akili iko kwenye wanakonyea, hayo ndo utakayoendelea kuyaona ukiendelea kutumia handaz
Ilikua asubuhi mkuu,nipo sober
Hivi we unaijua bangi, bangi ina akili kama mchwa, inaweza kukupa nguvu za kulima lakini ikaua ndoa, inaweza ikakupa mahusiano mazuri na watu lakini ikaua mapafu, kama ni mwanafunzi inaweza isikudhuru kwa lolote lakini ikawa inakuletea malaria isiyotibika kipindi cha mitihani tu, mitihani ikiisha unakuwa sober!
Unapotaka kwenda kwenye kazi muhimu inaweza kukuletea muonekano wa kundi la wachawi kukukimbiza, kukukaba mpaka mate yatoka muda wote kama taahira, kazi ikipita unarudi kuwa fresh. Bangi inajua wakati na mahali pa KUPIGA.
BANGI NI ZAIDI YA MOSHI

Usifanye masihara nilikua naota tena sio huyo singasinga ni mlinzi tu babu wa hapa mtaani
Hivi we unaijua bangi, bangi ina akili kama mchwa, inaweza kukupa nguvu za kulima lakini ikaua ndoa, inaweza ikakupa mahusiano mazuri na watu lakini ikaua mapafu, kama ni mwanafunzi inaweza isikudhuru kwa lolote lakini ikawa inakuletea malaria isiyotibika kipindi cha mitihani tu, mitihani ikiisha unakuwa sober!
Unapotaka kwenda kwenye kazi muhimu inaweza kukuletea muonekano wa kundi la wachawi kukukimbiza, kukukaba mpaka mate yatoka muda wote kama taahira, kazi ikipita unarudi kuwa fresh. Bangi inajua wakati na mahali pa KUPIGA.
BANGI NI ZAIDI YA MOSHI
Au ulizidisha msuba halafu hukupata Milo sawasawa