Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,268
Ni nyumba yenye self/masterbedroom 2, vyumba vi2 single vinatumia choo cha ndani, dinning room moja, sitting moja kubwa car park, servant rooms na uzio mkubwa nyumba ina maji na umeme
Ipo Area D, jirani na Flamingo baada ya duka la Kwa Mosha
Kodi kwa mwezi 300,000/ inatakiwa angalau miezi 6 yaani 1,800,000
Maelezo zaidi nipm
Ipo Area D, jirani na Flamingo baada ya duka la Kwa Mosha
Kodi kwa mwezi 300,000/ inatakiwa angalau miezi 6 yaani 1,800,000
Maelezo zaidi nipm