House4Sale Nyumba bei ya kutupa inauzwa Mwanza

House4Sale Nyumba bei ya kutupa inauzwa Mwanza

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
Sehemu: MWANZA USAGARA-NYANGHOMANGO.

Ina vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, public toilet,

Kiwanja cha nyuma kilichobaki 15 kwa 23, unaweza kujenga nyumba nyingine kubwa kama hii au zaidi.

Eneo la mbele lililobaki 15 kwa 8 hivyo unaweza jenga apartment za maduka sababu imeangalia barabara ya mtaa na ukapata parking 🛻

Offer Solar ya uhakika 100W na miti ya matunda.

Bei: 24Millions Neg.
Contacts: 0674978709

IMG-20220413-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom