Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Dr. Kleruu wapo wengi sana Nyakati hizi ila Majasiri kama akina Said Mwamwindi hawapo!!
Huyu Mkulima alimtandika Risasi RC akamtia kwny Trekta lake akampeleka kwa RPC akamwambia nimewaletea Mzoga Wenu.
Juzi kati hapa Mgambo tu wa TANAPA wameharibu mashamba ya Mahindi zaid ya heka 400 huko Mbeya kisa wamelima kwenye Hifadhi, halafu wanakijiji wanakimbilia ITV !!!
Mwamwindi alihukumiwa kunyongwa hadi kufa maana waliprove kosa la kuuwa kwa kukusudiaNa Mwamwindi kilipata nini baada ya hapo?
CC . RC Mwanza..!
Dr. Kleruu wapo wengi sana Nyakati hizi ila Majasiri kama akina Said Mwamwindi hawapo!!
Huyu Mkulima alimtandika Risasi RC akamtia kwny Trekta lake akampeleka kwa RPC akamwambia nimewaletea Mzoga Wenu.
Juzi kati hapa Mgambo tu wa TANAPA wameharibu mashamba ya Mahindi zaid ya heka 400 huko Mbeya kisa wamelima kwenye Hifadhi, halafu wanakijiji wanakimbilia ITV !!!
mwamindi alikuwa anapinga unyonyaji. ujamaa ni mfumo wa kinyonyaji.
hapana mwamindi alikua anapinga kuchukuliwa mke wake mdogo na Dr. Kleruu
siyo ngono tu hata msosi. Cheseya niga wewe kwenye menu!Nilitaka nishangae tangu lini Mwafrika akawa tayari kuuwa kwa ajili ya kutetea kile anachokiamini yaani itikadi? Sana sana ukisikia Mwafrika kaua ujue ni mapenzi tu hapo hamna kingine, ngono ndiyo namba moja!
hapana mwamindi alikua anapinga kuchukuliwa mke wake mdogo na Dr. Kleruu
Cc Nyani NgabuNilitaka nishangae tangu lini Mwafrika akawa tayari kuuwa kwa ajili ya kutetea kile anachokiamini yaani itikadi? Sana sana ukisikia Mwafrika kaua ujue ni mapenzi tu hapo hamna kingine, ngono ndiyo namba moja!
Acha kupotosha umma.hapana mwamindi alikua anapinga kuchukuliwa mke wake mdogo na Dr. Kleruu
Nilitaka nishangae tangu lini Mwafrika akawa tayari kuuwa kwa ajili ya kutetea kile anachokiamini yaani itikadi? Sana sana ukisikia Mwafrika kaua ujue ni mapenzi tu hapo hamna kingine, ngono ndiyo namba moja!
Alinyongwa, Mwalimu alimsihii akane awe aliua bila kukusudia alikataa katu. Dr. Kreluu alikua mwasherati wa kutembea na watoto pia wake za watu. Adabu aliipata, shujaa Mwamwindi..Na Mwamwindi kilipata nini baada ya hapo?
CC . RC Mwanza..!
hapana mwamindi alikua anapinga kuchukuliwa mke wake mdogo na Dr. Kleruu
duh, hairuhusiwi kulima kwenye hifadhi mkuu, ulitaka wafanyeje
Je hukumu ilishatekelezwa?!Mwamwindi alihukumiwa kunyongwa hadi kufa maana waliprove kosa la kuuwa kwa kukusudia