Historia: Picha ya Said Mwamwindi aliyemuua Dk. Kleruu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Iringa

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
18275136_10211200958952564_1362979381008587146_n.jpg


Dr. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake
 
Alikuwa mmoja wa wakulima tajiri mkoani iringa kwa wakati huo.Ni mhehe, na hakutaka kusumbuliwasumbuliwa na siasa za ujamaa!Aliona ni lazima amwondoe 'msumbufu' mkubwa, Kleruu. Hasira za kihehe zikakolea na kweli akamwondoa 'msumbufu'
Lakini kilichomsukuma kumuua Bashite wa enzi hizo kilikuwa zaidi ya siasa. Kulikuwa na kitu nyuma ya pazia. Wajuzi wanasema bwana mkubwa kipenzi cha JIwe wa enzi hizo alikuwa anachepuka na mke wake mdogo. Lakini pia muhehe ni mtu asiyependa kudharaulika sasa kitendo cha mkuu wa mkoa kumdharau kwa kumchomachoma na fimbo yake tumboni mbele ya wake za, na pia kudharau makaburi ya wahenga wake ndo kilitibua kabisaa nyongo ya mzee huyu wa kinyalukolo. Aliingia tu ndani kumuagiza mke wake mmoja mie naondoka lea watoto Basi alito na two two acha kabisa hakutishia kafanya kweli
 
Hakuacha wajukuu Huyo shujaa?angewasaidia wanaume wa dar kumtoboa shingo kleruu wa dar
 
Back
Top Bottom