Changamoto itakuwa waliojenga hawakuweka miundombinu vizuriDada yangu kajenga hivyo,anajuta
Yaani na hii mvua Nyumba inavuja Pande zote,,mvua ikinyesha ndani hakupitiki
Siku unaweza kukuta ndani ya nyumba kuna bonge la swimming pool hutaamini!Hizi nyumba sio za walalahoi kama ambavyo watu hufikiria...zinahitaji service kama Nissan