NYOTA ZETU

MorTimer

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,195
Reaction score
968
Wakuu kama nyota hapo inapojieleza mimi pia nimezaliwa kati ya miezi hiyo....Inawezekana kweli sijatoboa kisawasawa kwa kutokuwa na tabia ya kuhonga.....!!! Tuliozaliwa kati ya hiyo miezi vipi upande wenu ukoje ili na mimi leo nianze kumwaga fwedha....!!!
 


Hii ni opportunity katika mwaka huu!!?
 
Mjuzi wa mambo ya nyota, naomba aniangalizie nyota ya huyu kiongozi wa awamu hii tafadhali...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…