Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 16/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Hali ngumu na kukwama kwa shughuli zako kunachangiwa na jamaa zako jitazame kwa kina utagundua nini tatizo unashauriwa kulazimisha baadhi ya mambo katika kuamua nini ufanye.
•Utapokea taarifa za majanga ya moto na milipuko usisafiri kwenda mbali tembea tembea hapa na pale na fanya mawasiliano na jamaa Siku ya leo si nzuri.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Utabiri inaonyesha kuna kitu kizuri sana kinakuja kwenye maisha yako kipokee kwa kutoa sadaka na kuwajali wenye uhitaji utafanikiwa kila mpango wako.
•Safari ya kwenda kuwaona wazee nyumbani ni muhimu hiyo itakuwa ndio ufunguo wa kuondoka kwa matatizo yako huko utakutana na kiongozi mkubwa atakupa ushirikiano na kukusaidia katika mipango yako unatakiwa kubadili mpangilio mzima wa kile ulichokuwa umepanga tegemea kupata mgeni ambaye ni mkubwa sana kwako.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Utafanikiwa kwa kiasi kikubwa katika shughuli zako kazini utapata promosheni na kuwa kiongozi wa idara biashara nazo zitakuwa nzuri Utajikutà umerejesha heshima yako na kila kitu kitakuwa kama unavyotaka utafanikiwa kujiimarisha katika shughuli zako.
•Utapata habari njema zaidi na haja zako nyingi zitatimia kwa namna usiyoitarajia kabisa katika siku ya leo na unashauriwa leo kuwa kiimani na kiroho zaidi.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Unatapokea taarifa za rafiki yako ambaye kwa sasa ni mgonjwa Kutana nae leo kujua hali yake mtakachoamua kitakuwa msaada mkubwa kwake Japokuwa utapokea lawama lakini hatma yake ni njema itakapofika majira ya jioni Omba msaada inapobidi na utasaidiwa.
•utakayoyafanya leo yataenda kukutia kiza uzito ugumu kwa kila jambo lako hivyo kuwa kimya na mtulivu na uwe mchangamfu zaidi kwenye mambo ya kiimani kwakuwa yatakuinua na kukuweka pazuri zaidi.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Maelewano nyumbani si mazuri kuna mtu anawavuruga kwa makusudi ili kujinufaisha Yale makubaliano uliyoyaingia yamekwama inahitajika akili ya ziada Acha kulichukulia kila jambo ni la kawaida tafuta msaada kujiepusha na kukwazana kunako endelea.
•Utapata furaha zaidi siku hii na biashara yako itastawi na utapata msaada kwa namna usiyoitarajia hivyo usijisikie mnyonge kwa machache yanayokusibu elewa yote yanapita na utulivu unakuja.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Umekuwa ukisumbuliwa na kutatizwa nini ufanye jibu ni kuwà unatakiwa kuanza upya katika kila jambo Hata unaoshirikiana nao ni tatizo kwako anzisha shughuli yoyote ile lakini iwe unaianza upya na ifanyie matangazo utafanikiwa Kuna habari za kupendeza zitakufikia leo kwa mara ya kwanza.
•Pia kuna safari nzuri mno inakuja mbeleni usiikatae safari hiyo inaonekana ni ya mbali na huenda ni nje kabisa ya nchi au kama upo bara ni safari ya pwani na kama upo pwani ni safari ya bara usiikatae ina kheri kwako.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹(November 22– December 21)
Utapata utakacho lakini inabidi ukifuate ile mipango ya kazi imekwenda vizuri tegemea kuifanya nje ya hapa utapokea pesa kutoka kwa mtu aliye mbali siku nzuri kukamilisha mipango yako Fuatilia madai yako japokuwa utapewa ahadi na kusogezwa mbele kwa malipo yako.
•Mahusiano yako yatakuwa hovyo hovyo hivyo usiyape nafasi sana kuyatawala katika msimu huu kwakuwa ndio muda wake wa kuwa hivi stahmili yatapita.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Unatakiwa kuwa na jamaa zako katika kipindi hiki mafanikio yako yanawategemea wao usijitenge utajinyima bahati leo ni vizuri ukakutana nao katika matembezi utakayo yafanya Mawasiliano ni kitu muhimu sana usipuuzie simu utakazo pigiwa na ujumbe utakao upata.
•Tegemea kupata maudhi makubwa katika siku hii na mengi yatatimia lakini baada ya kupigiwa kelele na magomvi kutokea hivyo stahmili ni kwa Leo tu.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Unatakiwa leo muda wako mwingi uutumie ukiwa nyumbani na marafiki zako wale waliokuzidi umri watakuwa msaada mkubwa kwako Utafanikiwa kutatua mambo yako mengi leo lile suala la mtoto kutaka malezi litafikia mwisho kuna jambo mtafikia makubaliano na uliyezaa nae kuhusiana na nyumba.
•Kumbuka mambo ya kiroho yamebeba siku yako leo hivyo uwe mwema zaidi.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Utakuwa katika hali ya sintofahamu huku unataka msaada na kule unaombwa msaada Unashauriwa kushughulikia suala la mkopo kwanza ukifanikiwa haya mengine ya elimu mtoto na gari yatakuwa sawa Japokuwa inaonekana kuna figisu figisu inaendelea kwa chini chini siku nzuri kujumuika na marafiki katika sherehe.
•Maradhi ya hapa na pale atakusumbua lakini yanapita utakuwa sawa baada ya muda.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Unatakiwa kuepuka makundi kubishana kitakuingiza matatani Utajikuta umezua ugomvi ambao hukukitarajia na kufikishwa mbele ya mapolisi hali ya afya haijakuwa sawa utapokea taarifa za mgonjwa kuzidiwa tena omba msaàda utapewa ila tatizo halitamalizika kwa sasa utapoteza kitu ambacho ni muhimu sana kwako.
•Mahusiano yako yatapata utulivu
Safari zako ni salama.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Mipango yako yote imekaa sawa utapokea taarifa ya kupatikana kwa kazi na yenye kipato kizuri leo utajikuta unafurahia jambo utaingia makubaliano na mpenzi wako ambaye umejuana nae hivi karibuni masuala ya uchumba posa na ndoa yatatawala siku ya leo kutakuwa na maelewano mazuri kwa wale waliokuwa wamehitilafiana.
•Rizki zako zipo salama na utafungukkiwa mambo yako na kheri zako zipo nyingi zinakuja.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA ☠️💀 MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.