chemsha maharage uyaweke uvunguni kwa wiki moja kisha chuja maji yake uyaoge..........
chemsha maharage uyaweke uvunguni kwa wiki moja kisha chuja maji yake uyaoge..........
Emasaku as much as naamini kua ni kweli kila mmoja ana bahati yake
Lingine nielewalo mimi ni kwamba ukiendekeza saana hayo mambo ktk
maisha yako hamna la maana utafanya; For kila ufanyalo yaani ule, ulale,
upate pesa, ukose pesa yaani ufanye lolote utataka kuhusisha na Nyota.
It is not healthy Mkuu, mambo ya nyota fanya for leisure but yasiongoze
kabisa maisha yako.... naamini kupoteza dira ya Maisha ni rahisi ukiendekeza...
Best of Luck....
huh.....................hii mbona balaaaaaaaaachemsha maharage uyaweke uvunguni kwa wiki moja kisha chuja maji yake uyaoge..........
chemsha maharage uyaweke uvunguni kwa wiki moja kisha chuja maji yake uyaoge..........
Salamu wanaJF, Mimi ni kijana wakiume, naombeni mnielimishe kuhusu nyota! Mtu akikwambia nyota yako haingai au inamatatizo inamaana gani? Kwa takribani miaka 3 sasa nimekuwa naplani nzuri za kimaisha, lakini cha ajabu naanza vizuri na baada ya muda si mrefu mambo yanaenda sivyo... Kila biashara ninayofanya napata hasara au nathulumiwa, nikimkopea mtu hela harudishi... Pesa ninazo dai watu inafika karibu mil. 4.
Nilisha ulizia kwa mtaamu mmoja kuhusu swala hili.... Alinipa dawa ya kuongea lakini nilipuzia na kuitupa mbali nikajifanya kumwomba mungu! Swala hili linanimiza kichwa sana, kwa muda wa miezi 2 nimekuwa nachukiwa na karibu marafiki wangu wote, hata mpenzi wangu hataki tena kuwasiliana tena na mimi japo ninamsomesha shule! Jamani naombeni ushauri wenu. Nyota yangu haingai? Nifanye nini? Au niende tena kwa wataamu wa nyota? Kama ndio wapi nitampata wa ukweli? Asante!
Sali/swali sana achana na ujinga huo wa nyota utapotea
Aisee...mwenzio si atanukia kimavi mavi mwaka mzima..chemsha maharage uyaweke uvunguni kwa wiki moja kisha chuja maji yake uyaoge..........
chemsha maharage uyaweke uvunguni kwa wiki moja kisha chuja maji yake uyaoge..........