Nyooo

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
Padri na sister walikuwa wanasafiri wakafika sehemu fluani ikawa ni usiku,ikawabidi waende kulala guest.

Kufika guest vyumba vimejaa kimebaki kimoja tu! wakaamua kulala pamoja ila wakajitenga kwa kutumia MTO.

Iilipofika asubuhi wanataka kutoka wakakuta gate limefungwa,padri akamwambia sister "unaonaje turuke gate?"
Sister akajibu "Nyooo ulishindwa kuruka mto... utaweza gate!!"
 
ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimesha simamishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ninihiiiiiiiiiiiii
 
:eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2:
 
hiyo kali mwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kama ni mimi padri ningemjibu sister kuwa mto ulikuwa na mamba wengi
 
Huyo Padri ni mtoto wa mombasa huyo, aliposema kuruka geti hakuwa na maana hiyo, halafu na huyo sister ni mtoto wa kinondoni, aliposema mto alimaanisha kale kadimbwi maji kupwa maji kujaa, ambako shurti uvuke kwa kutumia mguu mmoja.
 
Alitaka apate mambo mwenzie kambania
 
​kwani mto wa kuluka au wa kusogeza tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…