😂 😂 😂Mpira wa Tz unaishi kwa kudra, watapatikana wengine
Wakuu,
Naona nchi haiwezi kuhema bila Erasto Nyoni na Kelvin Yondani kwenye ulinzi. Hawa wachezaji waliomba kustaafu kuchezea timu ya taifa lakini ikabidi waombwe kuendelea sababu ya kukosa mbadala.
Ushauri wa bure ni kuomba Simba wamtumie Mlipili badala ya Nyoni kucheza hata me mechi ambazo hazina pressure. Tunahitaji mbadala wa Nyoni na Yondani haraka kabla miili yao haijagoma kucheza.
Hakuna eneo Tanzania ina hatari kubwa kama eneo la ulinzi kuwakosa Nyoni na Yondani kwa pamoja. Watu wa mpira angalieni namna ya kuziba haya mapengo kabla hayajawa mapengo.
Tutoe nafasi kwa akina Ally Mtoni, Mwantika na Mlipili ili wajiandae kuziba nafasi za hawa wakongwe kabla miili yao haijagoma tuanze kuwalaumu wakati waliomba wapumzike.
Erasto Nyoni na Kelvin Yondani ni pair ambayo kuitengeneza nyingine ni safari ndefu sana. Tujipange mapema
Sawa, huyu akipata uzoefu na kuacha ule uninja usiokuwa na maana anaweza kuwa mzuri. Lakini ingefaa zaidi tukipata beki mwingine mwenye asili ya bara kwa manufaa ya kilimanjalo stars.Write your reply...Ngoja ninja apate uzoefu atakuja kutusaidia.
Right.Wakuu,
Naona nchi haiwezi kuhema bila Erasto Nyoni na Kelvin Yondani kwenye ulinzi. Hawa wachezaji waliomba kustaafu kuchezea timu ya taifa lakini ikabidi waombwe kuendelea sababu ya kukosa mbadala.
Ushauri wa bure ni kuomba Simba wamtumie Mlipili badala ya Nyoni kucheza hata me mechi ambazo hazina pressure. Tunahitaji mbadala wa Nyoni na Yondani haraka kabla miili yao haijagoma kucheza.
Hakuna eneo Tanzania ina hatari kubwa kama eneo la ulinzi kuwakosa Nyoni na Yondani kwa pamoja. Watu wa mpira angalieni namna ya kuziba haya mapengo kabla hayajawa mapengo.
Tutoe nafasi kwa akina Ally Mtoni, Mwantika na Mlipili ili wajiandae kuziba nafasi za hawa wakongwe kabla miili yao haijagoma tuanze kuwalaumu wakati waliomba wapumzike.
Erasto Nyoni na Kelvin Yondani ni pair ambayo kuitengeneza nyingine ni safari ndefu sana. Tujipange mapema
Ila ndio tegemeo, ikitokea ghafla wote wasicheze ni aibu pale kwenye ulinzi.Ni ajabu leo nimeangalia mpira huo na nimeona kuwa Yondani na Nyoni hawawezi tena na hawana pumzi ya kwenda sambamba na mziki wa vijana wa leo au niseme "wamezeeka" wanatakiwa wapumzike huko kwenye timu zao