Nyomi la Mkutano wa CCM-NJOMBE

English Learner

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
368
Reaction score
471
Ooh ccm haiwezi kupata watu, mara fulani alikimbiwa tena akatukana...

NOW, what is this?


​
 
yaweza kuwa kweli nyomi ilikuwepo! Lakini picha hii haiongea vizuri juu ya hilo.
 
Aibu kubwa hii.
Ccm wanamngojea mtu toka sayari gani awaambie kuwa hawatakiwi?
 
Nini maana ya nyomi tuanzie hapo kwanza ili tujiridhishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…