Mwana kinyonga JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 377 Reaction score 226 Apr 10, 2012 #1 Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk. RIP KANUMBA
Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk. RIP KANUMBA
Mwana kinyonga JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 377 Reaction score 226 Apr 10, 2012 Thread starter #2 Msafara uko salender wanaweka mambo sawa
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,209 Apr 10, 2012 #3 Mwana kinyonga said: Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk. RIP KANUMBA Click to expand... kweli mdau,me nipo pande za hapa mkwajuni,kuna folen ya ajabu na nauli zimeshapanda,jam inaanzia magomen,gari za posta znapita kawawa leo
Mwana kinyonga said: Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk. RIP KANUMBA Click to expand... kweli mdau,me nipo pande za hapa mkwajuni,kuna folen ya ajabu na nauli zimeshapanda,jam inaanzia magomen,gari za posta znapita kawawa leo
P PGM Member Joined Apr 5, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Apr 10, 2012 #4 Mungu ailaze Roho ya marehemu Kanumba mahali pema peponi Amina !