maringo tu yale, nishaona kinyonga anakwenda mbio kuliko mjusi maeneo ya urambo tabora, kipindi cha kiangazi wenyeji huchoma mapori kwa ajili ya uwindaji, alinipita barabarani speed ka ya kenge, alipofika barabarani alisimama akitweta, nikasema kumbe kifo kinatisha,Aisee kumbe maisha magumu na mawazo ya ajira ni kwangu tu , yaan mtu hadi anapata kuwaza kutaka kujua nyoka akitikisa mkia anamanisha nini ee mungu nibariki na nipunguzie ugumu wa maisha nami sku moja nije na thread ya kwann kinyonga anatembea pole pole
Ni busara vilevile kukaa kimya kwa jambo lisilokuhusu.Aisee kumbe maisha magumu na mawazo ya ajira ni kwangu tu , yaan mtu hadi anapata kuwaza kutaka kujua nyoka akitikisa mkia anamanisha nini ee mungu nibariki na nipunguzie ugumu wa maisha nami sku moja nije na thread ya kwann kinyonga anatembea pole pole
Aksante sana mkuu kwa ufafanuzi murua. JF ina hazina kubwa ya 'Great Thinkers'.Kwa kawaida jamii nyingi za nyoka (koboko usimuweke kundi hili) hua wanakua wa kwanza kutafuta njia ya kutoroka wanapoona mnyama akiwasogelea (namaanisha mpaka binadamy) hii inaonesha pia ni kwanini facts nyingi za Anaconda hazijulikani.
Akiwa ameamua kukutoroka ukalazimisha kumzinga mpaka akawa hana namna nyingine ya kutoroka hukaa mkao wa kushambulia na kuanza tabia za kukupa tahadhari.
1. Cobra atatanua shingo yake.
2. Black mamba ataachama mdomo na kukuonesha mdomo wake.
3. Rattle snake atachezesha mkia wake.
Hao nyoka wanaotoa mlio mkiani ni rattle snake na si kwamba mlio wao ni 'chekeche' bali hua mlio kama wa simu ikiwa inavibrate, hivyo inawezekana hata usisikie kama anakupa onyo.
Kutikisa mkia pia hufanywa ikiwa amekaa windoni na anajiandaa kufanya ambush (kumbuka nimesema mlio ni kama wa vibration) hivyo hata mnyama anayewindwa anaweza asisikie.
Kwangu mimi naona kua nyoka atatikisa mkia akiwa anajihami au akiwa anawinda na akitoa mlio wa 'hhssss' huyo ni kobra na huo hautokei mkiani ni mdomoni and inaweza kua too late kufigure out nini kimetoa mlio maana mate yake yana accuracy ya mpaka futi 7
Yeah, hivi utajisiaje ukisikia mtoto wako (kama unae) katika mitihani ya mwisho majibu kaandika nyimbo za bongo fleva?Kweli swali zuri wacha niongeze swali hapo hivi na wanawake wanaotikisa matako ni jamii moja na hao nyoka na wanamaanisha nini?
Upo nondo kinomaMkuu alitikisa na ukatoa huo mlio? Kama ulitoa mlio huenda asiwe chatu bali huyu huyu rattle snake. Hawa nyoka jamii ya rattle wako wa species nyingi na wamefanana na chatu. Hata chakula chao ni panya na vinyama vidogo kama chatu.
Teh teh teh ww sio rasilimali kwa taifa aiseeKweli swali zuri wacha niongeze swali hapo hivi na wanawake wanaotikisa matako ni jamii moja na hao nyoka na wanamaanisha nini?
Soma tu mkuu yatakusaidia siku ukianza kujitegemea (ukitoka kwa wazazi) wenzio tumeajiriwa na bado tunapambana porini na tunakutana na hizi changamotoAisee kumbe maisha magumu na mawazo ya ajira ni kwangu tu , yaan mtu hadi anapata kuwaza kutaka kujua nyoka akitikisa mkia anamanisha nini ee mungu nibariki na nipunguzie ugumu wa maisha nami sku moja nije na thread ya kwann kinyonga anatembea pole pole
Asante sn JF....this forum is more than a forum....Mecheka saaaaaanaaaKweli we TangoMwitu mkuu
Wakuu, nipatapo muda huwa naangalia TV chaneli ya Animal Planet. Kilichonisukuma kujua ni jinsi nyoka anapochezesha mkia wake (sehemu ya mwisho ya mwili wake) na kutoa mlio kama chekeche hivi, huwa anaashiria nini?
samahani mkuu,ukitaka ku quote post/comment zaidi ya moja kama hivo unafanyaje?We kweli pimbi sana
You have to change your mind set bro[emoji19] [emoji19]Kweli swali zuri wacha niongeze swali hapo hivi na wanawake wanaotikisa matako ni jamii moja na hao nyoka na wanamaanisha nini?
Hahahaaaa niliwahi kumshuhudia kinyonga kadondoka kwenye siafu duh! Nilihisi labda kachukua bodaboda...maringo tu yale, nishaona kinyonga anakwenda mbio kuliko mjusi maeneo ya urambo tabora, kipindi cha kiangazi wenyeji huchoma mapori kwa ajili ya uwindaji, alinipita barabarani speed ka ya kenge, alipofika barabarani alisimama akitweta, nikasema kumbe kifo kinatisha,