Diesel na nyoka ni mbali mbali mwaga kidogo kila chumba acha milango wazi atatoka mwenyewe hapendi kabisa hiyo harufu muda mwingine hata mafuta ya taa...msimtafute nyoka hovyo ukimkanyaga atagugonga na punguzeni vitu visivyo vya umuhimu ndani vinakua maficho ya wadudu..

Badili jina kwanza, baharia gani anaogopa vitu vidogo hivyo? Linganisha mwili wako na ukubwa wa huyo nyoka, mwenye mwili mkubwa ndio anatakiwa awe jasiri.

Mimi kuna mwanangu ni msukuma kuna maneno akiyaongea kumsemea uyu mdudu anaganda popote alipo adi anakufa alishawai kunigandishia kenge akasimama pale pale..
Mimi kuna mwanangu ni msukuma kuna maneno akiyaongea kumsemea uyu mdudu anaganda popote alipo adi anakufa alishawai kunigandishia kenge akasimama pale pale..
Diesel na nyoka ni mbali mbali mwaga kidogo kila chumba acha milango wazi atatoka mwenyewe hapendi kabisa hiyo harufu muda mwingine hata mafuta ya taa...msimtafute nyoka hovyo ukimkanyaga atagugonga na punguzeni vitu visivyo vya umuhimu ndani vinakua maficho ya wadudu..
Badili jina kwanza, baharia gani anaogopa vitu vidogo hivyo? Linganisha mwili wako na ukubwa wa huyo nyoka, mwenye mwili mkubwa ndio anatakiwaa awe jasiri.