Nyoka aibuka wakati ndege ipo angani...Pazuri hapo. Hakuna mawe wala fimbo

Dawa yake tumia fire extinguisher[co2] hakikisha unalenga kichwa mpulizie. kwanza ile compressed air temp yake iko chini na pili atashindwa kupumua kwa kukosa oxygen

Fire extinguisher ya Co2???!! Naona hapo atakuwa anaua nyoka na abiria wake wote pamoja nayeye...ndege tu ni confirned space,no pure/fresh oxygen watu wanapumua kwa msaada wa ma air condition halafu upulize Co2...duuuuh
 
Hii iliwahi kuangusha ndege ya Congo. Kuna abiria alipanda na mamba mdogo ambaye alikuwa amemuweka ndani ya begi ila kwa bahati mbaya ndege ikiwa angani yule mamba alitoka ndani ya begi. So abiria kwa hofu kuu wakakimbilia upande mwingine wa ndege na ndege ikawa imezidiwa na uzito upande mmoja na hivyo ikabinuka na kuanguka... Ni hatari sana...
 
Kiasi cha co2 siyo kikubwa kuathiri kwani hata kwenye cabin kuna canister za oxygen
 
Njia nyingine ni kuongeza air condition to lower temp na kwa vile nyoka ni coldblooded animal itamfanya awe immobile [haelewani na baridi kali]
 
Snakes on a Plane.
1478593770957.jpg
 
Hii iliwahi kuangusha ndege ya Congo. Kuna abiria alipanda na mamba mdogo ambaye alikuwa amemuweka ndani ya begi ila kwa bahati mbaya ndege ikiwa angani yule mamba alitoka ndani ya begi. So abiria kwa hofu kuu wakakimbilia upande mwingine wa ndege na ndege ikawa imezidiwa na uzito upande mmoja na hivyo ikabinuka na kuanguka... Ni hatari sana...
ahahah,mkuu ni kweli au fiksi!
 
Back
Top Bottom