Nyodo zingine bwana

Stori yako umeifanya kuwa ndefu bila sababu za msingi.kuna sababu gani ya kusema ulikuwa uasubiri maabara?
 
Nipe namba yake na mimi nimpe zake...pumbavu kabisa huyo...
 

Dah nimesoma hapo kwenye

Mdada alikuwa mzuri sana

Mungu wangu hakuwa mbali si bleed ikampata anahaha kama nguruwe anataka kupandwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Dah mwili umesisimuka kwa kweli maana dah nimeny'''''''egeka eti

Namba zake unazo mkuu Cecilia?
 
Popote uendapo salamu ni muhimu kuliko uzuri wako.
 
Inawezekana bleed ndo ilimfanya awe hivyo mana naskia kwa wadada wengine bleed zinawapelekesha balaa. Anyway ulifanya vizuri kumsaidia pamoja na jeuri zake.
Hakuna kusingizia bleed wala baridi hapo
Madem wengi hawajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…